Watch videos with subtitles in your language, upload your videos, create your own subtitles! Click here to learn more and view tutorials on "how to dotSUB"

Welcome to dotSUB!

Any Video Any Language


Here you can view, upload, transcribe and translate any video into any language. To create your own subtitles, click the button below and register.


Enterprise Solutions


dotSUB's Enterprise Solutions are a cost-effective platform for managing high-quality subtitles at scale, deploying them to video players and mobile devices, and providing interactive transcripts for enhanced SEO.


Who Uses dotSUB?

Language Services

Translation CMS

Captioning Laws

Testimonials


Sign up to our mailing list

Transcript for DISABILITY AND TRADITION PT 2

Au mtoto kwa mfano, azaliwe na mkia Mtoto kama yule hapo zamani alikua akizaliwa na mkia Mwanzo yuauliwa. papo hapo Mtoto akizaliwa na meno ya juu, pia ni hivyo hivyo Watoto wamezaliwa pacha ni wawili, mmoja yuauliwa Asipouliwa amba wenyewe hapo zamani walikuwa wakisema kuwa ni lazima mmoja wao atdhurika Lakini watu wa maajabu hivi sasa, Wanawekwa, lakini angalieni huu ulimwengu hivi sasa vile uendavyo Maana hapo kale kulikua na rutba, Zamani mvua zilinyesha kama kawaida Zamani watu walikua wakipanda mwezi wa pili Mwezi wa tatu…hivi sasa hakuna mvua Hata nyinyi fikirieni Hapo kale, neema za kale mwanzo hivi sasa hakuna neema kama kitakmbo Neema kale zilikuako, sasa ni hawa wachache ambao walikuwa wakizaliwa vijego wanauliwa Hebu na…. Si kuuliwa pekeyake aanhaa anapelekwa kule mti wa ubaridi tu akawekwe Na kama ni kijegokweli ukifika kesho asubuhi yule mtoto hayupo