Watch videos with subtitles in your language, upload your videos, create your own subtitles! Click here to learn more and view tutorials on "how to dotSUB"

Welcome to dotSUB!

Any Video Any Language


Here you can view, upload, transcribe and translate any video into any language. To create your own subtitles, click the button below and register.


Enterprise Solutions


dotSUB's Enterprise Solutions are a cost-effective platform for managing high-quality subtitles at scale, deploying them to video players and mobile devices, and providing interactive transcripts for enhanced SEO.


Who Uses dotSUB?

Language Services

Translation CMS

Captioning Laws

Testimonials


Sign up to our mailing list

Transcript for DISABILITY AND TRADITION PT 1

Yani hapo zamani mtoto akizaliwa vibaya kama hivyo yuapelekwa kwenye mt iwa shetani kama huko….. Mizimu mikuu yaani yuaenda wekwa chini ya mti Mti ambao ni mkubwa kabisa Yuakalishwa pale, kama ni mtoto ambaye haja Fikia kukaa yualazwa pale pale na mbeleko yake Mbeleko maalum (ya rangi ya samawati) yuawekwa pale baada ya kuwa yule motto amewekwa pale Kama si mzima wa kisawasawa kukicha asubuhi watu wakienda watamuona Yule mototo hayuko Na kama hayupo basi Yule motto amepaa Lakini kama alizaliwa hivyo tu kimungu basi yule mototo atakuwa hajakufa Wataenda kumkuta pale pale maana yeye alizaliwa kawaida ya kibinadamu Alikosewa tu na mwenyezi mungu… maana mwenyezimungu anaweza kukuumba kila aina Maana kwa mfano waweza kuzaa motto na akazungumza Huyo ni kisirani papo hapo ni auliwe hakuna hili wala lile Yuaweza kunyongwa maana kuna wale makatili Ambao si makatili wanaweza kumchukua Yule motto wakamtumbukiza kwenye maji, wakamgeuza kichwa chini hivi mpaka Yule motto akafa Tetesi za kalewatu waliamini kuwa sehemu hizo kwanza Hakutanyesha mvua kutakua Kutakua na ukame mwingi na kila gasia ya vituko lakini basi.... Motto Yule akididimizwa nchi itapigwa na baridi kulingana na hao wenyewe…eehaaha