Welcome to dotSUB!
Any Video Any Language
Here you can view, upload, transcribe and translate any video into any language. To create your own subtitles, click the button below and register.
Enterprise Solutions
dotSUB's Enterprise Solutions are a cost-effective platform for managing high-quality subtitles at scale, deploying them to video players and mobile devices, and providing interactive transcripts for enhanced SEO.
Transcript for CHAMA AKILI WOMENS GROUP
| Time | Content |
|---|---|
| 00:07 → 00:12 |
Tulfikiria sisi tuna kahivi wenzetu wanavyo endelea sasa tuna kaa hivi kivipi |
| 00:13 → 00:16 |
Wenzetu tukaye tukaaa kaa.tulipo kaa |
| 00:17 → 00:23 |
sisi wanawake tukasema ngoja nasi tujiunge tuwekama wenzetu |
| 00:23 → 00:26 |
Haya tukaanza mchango. |
| 00:26 → 00:31 |
Haya tuukaenda kwa semina tukaendaaa tukaaajiunga haya |
| 00:32 → 00:34 |
Tukanza na miradi yetu ya kuka tukafungua |
| 00:35 → 00:39 |
kampuni yetu hapa mwalumphamba sasa twashukuru tunaitwa kwenye semina |
| 00:40 → 00:45 |
tunapika tukipata vile twapata mapeni yetu twa zidi kujiendeleza |
| 00:45 → 00:47 |
Vile tuna vyo pata manufaa |
| 00:48 → 00:51 |
twataka kuwambia wenzetu sisi wenzenu tulikaa |
| 00:51 → 00:55 |
tukapata mradi huu jee nyinyi simujiunge |
| 00:56 → 00:59 |
muwekama wenzenu tukika hivi tuko maskini hatuna chochote. |
| 01:00 → 01:05 |
Tukika nyumbani nikulima mabwana zetu hawana kazi nisisi wenyewe tujiendeleze |
| 01:06 → 01:10 |
Tusuke makuti ili tupate nini manufaa ya kujiendeleza kama wenzetu wanavyo jiendeleza |
| 01:10 → 01:12 |
Tutaka hivi mpaka |
| 01:13 → 01:18 |
lini wenzetu aa pegine wana moyo lakini hatuja waona vizuri |

