Welcome to dotSUB!
Any Video Any Language
Here you can view, upload, transcribe and translate any video into any language. To create your own subtitles, click the button below and register.
Enterprise Solutions
dotSUB's Enterprise Solutions are a cost-effective platform for managing high-quality subtitles at scale, deploying them to video players and mobile devices, and providing interactive transcripts for enhanced SEO.
Transcript for TRADITIONAL HEALER
| Time | Content |
|---|---|
| 00:06 → 00:09 |
Naitwa Rama tunaangazia matibabu ya kiasli |
| 00:10 → 00:13 |
kwasababu mganga ni mmoja wetu katika jamii, |
| 00:14 → 00:17 |
matibabu yake hupatikana kwa urahisi na kwa bei nafuu. |
| 00:18 → 00:23 |
Huwa mtu huyu yuaaguliwa mambo ya kikwetu ya kienyeji. |
| 00:24 → 00:28 |
Tunamfanyia matibabu yale na Mungu akiwa sawa hupona |
| 00:29 → 00:31 |
hata hospitali labda asiende. |
| 00:32 → 00:35 |
Akiumwa na nyoka mtu Yule |
| 00:36 → 00:44 |
na kuna mtu ambaye hospitali ni kama hapa kuna zaidi ya futi…hamsini au mia moja |
| 00:45 → 00:52 |
lakini unatumia mti ambao huo ni kuuwa sumu ya hule nyoka hata awe mzima akaja akaonekana. |
| 00:53 → 00:56 |
Ambao kuna mti unaitwa mwadiga, |
| 00:57 → 01:01 |
mti huo ni wa maua lakini unaitwa mwadiga. |
| 01:02 → 01:09 |
Huo ndio ambao wenye matibabu ya kupita kuuwa sumu ya hule mnyama ambaye anaitwa nyoka… |
| 01:10 → 01:12 |
Halafu unachanganywa na miti mingine ambayo ni mchicha wa uchungu |
| 01:16 → 01:21 |
na mti ambao unaitwaa..mzizi wa mchungwa… |
| 01:22 → 01:31 |
sasa..kuna mti ambao unaitwa..mlozi mkubwa wenye miba ukiuona wa.. wa..waduruma |
| 01:32 → 01:35 |
sisi kikwetu tunauita mtega kelele. |
| 01:36 → 01:43 |
Sasa kuna mti mmoja ambao huko..hata..mnaujua mti wa kienyeji unaitwa tumbaku… |
| 01:44 → 01:46 |
majani ya tumbaku. |
| 01:46 → 01:51 |
Yale ni tiba ya sumu ya nyoka..ile tumbaku ikiwa hamuijui |
| 01:52 → 01:56 |
inauwa nyoka kwa haraka yenyewe hata kama unataka kujua nyoka afe |
| 01:57 → 02:02 |
hivyo ilivyo nyinyi mu wazungu lakini mkaenda kumuona nyoka yule mchukulieni tumbaku |
| 02:03 → 02:06 |
tu halafu mumtiye mumjaribu mtamuona atakavyokuwa anakufa hata mjue kumbe |
| 02:07 → 02:10 |
nyoka yuauliwa na tumbaku. Mumtiye tu humo mdomoni |
| 02:11 → 02:15 |
kwasababu mnamfanyia uoga yule akikuuma lazima utafute mganga. |
| 02:16 → 02:18 |
Lakini ukimfanyia utafiti uzuri |
| 02:19 → 02:24 |
lakini tumbaku yako hii hata kama ni ile ya kusagwa tayari ni hao wauzaji |
| 02:25 → 02:32 |
lakini umuchukulie umtiye mdomoni… muangaliye atakavyokuwa anakufa hata umuone. |
| 02:33 → 02:36 |
Ni sawasawa na nini… naa mwadiga mti ambao ukiuona una mauwa lakini |
| 02:37 → 02:40 |
wenyewe mti huo hukuwa kama ni mti… |
| 02:41 → 02:48 |
hauna mizizi lakini ukiupanda unakuwa tayari lakini maua yake yako yangi nyekundu. |

