Welcome to dotSUB!
Any Video Any Language
Here you can view, upload, transcribe and translate any video into any language. To create your own subtitles, click the button below and register.
Enterprise Solutions
dotSUB's Enterprise Solutions are a cost-effective platform for managing high-quality subtitles at scale, deploying them to video players and mobile devices, and providing interactive transcripts for enhanced SEO.
Transcript for POOR PERFORMANCE
Wazazi wengine hawana hii elimu ya kusoma --Kuna malusheri mengi shuleni lakini haa ukiwaambia hawataki yani hawaelewi kana tushen inaweza kukupatio kitu alafu ukija fanya mtihani upate maksi mzuri Wanakwambia kuwa hata wewe uende tuu huko tushen Wanakwambia kuwa hata wewe uende tuu huko tushen Shida zinazo tukumba sisi wasichana Kama mimi saa hii nasoma lakini sijui nani ambaye atanipeleka secondary Niko nasistaangu ambaye alisomo na Akapita vizuri na hakupelekwa secondary Alafu pia... na upungufu wa vitabu Few people concentrate in learning but most of them wanna use their time in just playing Alafu yani kwamfano utakuta kama mwalimu akija pale mbele Ana concentrate na wale ambao wanafuata lakini wale wengine ambao hawajijui ana wachana nao. Shida ambazo zinafanya nisipite mtihani… Kunawale wazazi ambao… huwambia watoto wao… hata ukasoma hatufaidiki… hutasaidia chochote afadhali urudi nyumbani utofute mume ama uende Mombasa ukatafute kazi. Alafu sababu nyingine kuna ile ya kuwa daresani mwalimu ana ongea… Alafe wewe mwalimu akiuliza swali wewe kama wajibu ukikosea kidogo wachekwa. Ssasa kuna wale ambao wakichekwa kidogo…. Basi alafu wanassume Ana nyamaza. Alafu mwisho mtihani ananguka

