Welcome to dotSUB!
Any Video Any Language
Here you can view, upload, transcribe and translate any video into any language. To create your own subtitles, click the button below and register.
Enterprise Solutions
dotSUB's Enterprise Solutions are a cost-effective platform for managing high-quality subtitles at scale, deploying them to video players and mobile devices, and providing interactive transcripts for enhanced SEO.
Transcript for TUFF GONG TOWN CLEANERS
Katika mambo mengi ambayo yamewahi kuzingatiwa katika mwaluphamba location,lipo moja ambalo ni usafi lilokuwa limesahauliwalakini Tuff Gong wakajitokeza nao wakafanya mambo maridhawa kabisa,. karibu na tujiunge nao Vijana walijitolea kwa sababu waliona hapa hapo mbeleni hapo…. Palikua pachafu sana. Sasa wakaona town yetu mbona ni chafu hivi.. Hebu tujitolee… wakajiunga watoto…. Wakajii… wakajiii…tolea pale wakaanza kufyeka kwa sababu kulikua na manyashi mengi. Wakafyeka wakachoma na moto..haya Saa hii kila asubuhi wanakuja wanafagia wanachukua takataka wanachoma jioni wanaenda nyumbani Malengo ya kwanza hasa ambayo tulikua tuko nayo ni kuelimisha jamii hasa juu ya usafi Enhee…kuwahusisha vijana. Wale wenye wamemaliza shule… Eee tunajivunia…. Mwanzo hasa jamii ya mtaa huu. Pamoja na location nzima wanajivunia na usafi Na isitoshe pia jamii ya sehemu hii wanajivunia sababu wamepata maendeleo Wako na biashara tofauti tofauti hapa, kwa mfano kama siku ya jummosi wanajivunia na mnada Watu walikua wanaenda kinango saa hii wanapata hapa hapa karibu Kwa hivyo tunajivunia na tunajivunia maradhi pia yamepungua hasa kama malaria yanayo ambukiza watoto wadogo Kwa hivyo tunajivunia sana Kwanza kuna mabadiliko makubwa hasa upande wa magonjwa kwa watoto Zamani ilikuako watoto sana wanaharisha wanakohoa malaria ilikua inawapata… lakini sasa twashukuru watotohawaharishiharishi ilikuwa ni pachafu Huyu mwenzenu aliye ndugu yenu, kijana wetu alianza kazi ya kujitolea yeye mwenyewe binafsi Kufanya hali ya mazingira iwe safi Akawa anafyeka bila kupewa peni wala chochote na mtu yeyote Lakini yuataka kuhakikisha hii miji ni misafi Na mimi nitazidi kuangazia vijana wenzangu nao waweze kujumuika Kwa hayo na mimi nasema shukran – safari njema

