Welcome to dotSUB!
Any Video Any Language
Here you can view, upload, transcribe and translate any video into any language. To create your own subtitles, click the button below and register.
Enterprise Solutions
dotSUB's Enterprise Solutions are a cost-effective platform for managing high-quality subtitles at scale, deploying them to video players and mobile devices, and providing interactive transcripts for enhanced SEO.
Transcript for MR KEAS STORY
Naitwa Samira Juma kutoka shule ya upili ya Mwaluphamba mimi naangazia kuhusu watu walemavu hawafai kutengwa katika jamii wanahaki sawa na mtu ambaye si mlemavu. Mimi nilizaliwa mzima lakini baadaye nikapata ulemavu na ulemavu wangu nilijaribu kujisaidia…nikafanikiwa… msaada wa kiserikali nilipata mashini ya kushona. Nikashona..nikanunua mbuzi..nikajenga nyumba… hata mwishowe nikapata ngombe. Sasa nikaowa mke…nikazaa watoto wawili. Wa msaidiye kama vile alivyo pia naye asijifikiriye kama kama mimi nikohivyo Ni ashughulikiwe kama iwavyo naye aji shughulikiye kwa sababu ukisaidiwa nawe jisaidiye Lakini sio kujilemeza kabisakabisa sasa uta kuwa huna mana Mbuzi nazo ngombe nazo nyumba nazo…bidiizangu… kujitafutia hata kama uta saidiwa lakini wewe mwenyewe uwe na bidii Watu namna hiyo najamii jamii siwatu wakumm poteza ..yule bwana… kwasababu wakisaidiana.. ndio kitu muhimu .

