Welcome to dotSUB!
Any Video Any Language
Here you can view, upload, transcribe and translate any video into any language. To create your own subtitles, click the button below and register.
Enterprise Solutions
dotSUB's Enterprise Solutions are a cost-effective platform for managing high-quality subtitles at scale, deploying them to video players and mobile devices, and providing interactive transcripts for enhanced SEO.
Transcript for COPRA
COPRA Copra - Nifilimu iliyo chukuliwa na wanafunzi Kutoka shule ya upili ya mwaluphamba ikiangazia Umuhimu na faidia za copra. Katika kuanza kazi yangu hivi sasa nina miaka mitatu Huwa nanua mazazo yz wakulima Mazao yenyewe ni mbata alafu na nazi nzima, huwa na zipama Huwa na pata shida sana na usafiri, wa kuzipeleka sokoni Kwa hivyo ningeomba, hivi sasa nataka Niwaite wakulima tuweze kujadiliana. Juu ya ile bei ambayo huwa napewa na wahindi, Kwa sababu mimi kama nanunua kilo shilingi kumi huwa wao wana ninunulia kwa shilingi kumi na tano kwa sababu natumia asafiri, mimi sipati kitu, Na huwa napata taabu sana, baada. Nikinunua nazi kama gunia tatu hivi, naweza maliza nazo wiki tatu ambapo huwa zapungua kilo.Nikifika kule nini upungufu wa kama kilo........ Kama nilipima kama kilo mia mbili naweza kupata kilo mia moja na sitini ambapo kilo arobaini. Zimeondoka Ambayo ni hasara kwangu. Ninaomba Tujengewe kituo ambacho sisi wakulima. Au mimi mwana biashara nikipata mali kwa wakulima Napeleka hapo sokoni

